Dar es Salaam. Mamia ya wakazi walijitokeza leo kwa hisia kubwa na furaha kuikaribisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, iliporejea kutoka katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ...
Ndani ya Yanga, kuna mchakato wa kusajili straika na Mwananchi linafahamu kwamba Kocha Pedro Goncalves tayari amewasilisha jina la mtu anayemhitaji. Kati ya majina ambayo Mwanaspoti linafahamu ...
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili.
Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amesema licha ya Serikali kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya umeme, changamoto kubwa inayokwamisha ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeamuru kuachiwa huru kwa Mkurugenzi wa FX Bureau De Change, Faruk Osman Sidik aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya ...
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama likiwa katika Kanisa la Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, leo, Desemba 13, 2025.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Ashatu Kijaji,akiwa na baadhi ya watalii kutoka nchini Italia,waliopo nchini kutembelea vivutio mbalimbali ambapo jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, ...
Katika uhusiano wa ndoa, suala la kutotoshelezwa kimapenzi ni jambo linaloweza kumgusa mtu yeyote, na mara nyingi halimaanishi kwamba mwenzi wako hafai au hashughuliki. Wakati mwingine, hata akiwa ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa kuwaapisha makatibu wakuu naibu katibu wakuu Ikulu Zanzibar. Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema sasa si muda wa watendaji ...
Haiwi haiwi, huwa na imekuwa! Si Nepali na Madagascar mafyatu walifyatuka na kufyatua kikaumana! Nani alitegemea mafyatu waliodhaniwa kutoweza kufyatuka au kufyatuliwa wangefyatuka na kufyatua ...
Mgombea Urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Gombo Sambandito Gombo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Oktoba 14,2025 Mkoa wa Mbeya.Picha na Hawa Mathias Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...