Mwanengo alikuwa staa muhimu ndani ya TRA, lakini hakuwa na takwimu bora ambapo kwenye mechi saba hadi anaachana na timu hiyo ...
MABOSI wa Simba wapo katika hatua ya mwisho ya mazungumzo kabla ya kushusha winga mpya kutoka Senegal, lakini kukiwa na taarifa kuna mashine nyingine tatu zikiwa katika mazungumzo ya kutua Msimbazi, ...