ANAYEJUA anajua tu. Haya ndio maneno unayoweza kuyatumia kwa kocha Miguel Gamondi ambaye ameendelea kuweka alama za ubora ...
Mwanengo alikuwa staa muhimu ndani ya TRA, lakini hakuwa na takwimu bora ambapo kwenye mechi saba hadi anaachana na timu hiyo ...
STAA, Sadio Mane amefunga bao pekee wakati Senegal walipoichapa Misri na kutinga fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 ...
WENYEJI wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025, Morocco wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuichapa Nigeria kwa penalti 4-2 katika mchezo uliofanyika Rabat.
MABOSI wa Simba wapo katika hatua ya mwisho ya mazungumzo kabla ya kushusha winga mpya kutoka Senegal, lakini kukiwa na taarifa kuna mashine nyingine tatu zikiwa katika mazungumzo ya kutua Msimbazi, ...
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania na Jeshi la Polisi, Transfora Mussa Ngimbudzi ameondoka nchini leo kwenda Uholanzi ...
LICHA ya nyimbo zake kuendelea kusikika kwenye majukwaa mbalimbali ya kidigitali na kugusa mamilioni ya waumini ndani na nje ...
HATIMAYE safari ya siku 17 kushuhudia mechi 15 za Kombe la Mapinduzi 2026 kuanzia Desemba 28, 2025, imehitimishwa Januari 13, ...
BAADA ya kufunga mabao matano katika mechi ya jana dhidi ya Fountain Gate Princess, mshambuliaji wa Yanga Princess, Jeanine ...
KATIKA nchi zenye mivutano ya kisiasa, kikabila, imani au mitazamo tofauti ya mambo mbalimbali, bado kuna mengine huwaleta ...
NDO hivyo. Chelsea ilimlazimisha kocha wa zamani, Enzo Maresca, kumruhusu mkuu wa idara ya tiba ya klabu kukaa kwenye benchi ...
LIGI Kuu Bara iliyosimama tangu Desemba 7, mwaka jana kupisha michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2025) na Kombe la ...