Dar es Salaam. Mamia ya wakazi walijitokeza leo kwa hisia kubwa na furaha kuikaribisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, iliporejea kutoka katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ...
Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amesema licha ya Serikali kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya umeme, changamoto kubwa inayokwamisha ...
Dar es Salaam. Ikiwa imepita miezi sita tangu alipofariki dunia, Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu, bado mazishi yake yametawaliwa na sintofahamu kutokana na mvutano kati ya familia na Serikali ya ...
Ndani ya Yanga, kuna mchakato wa kusajili straika na Mwananchi linafahamu kwamba Kocha Pedro Goncalves tayari amewasilisha jina la mtu anayemhitaji. Kati ya majina ambayo Mwanaspoti linafahamu ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya uwepo wa mvua na radi kwa kipindi cha Januari 1 hadi 10, 2026, huku vipindi vya mvua vikitarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Tanzania.
Watu watano wamefariki dunia, wakiwemo askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, na wengine tisa wamejeruhiwa, wakiwemo wanafunzi, katika ajali ya barabarani iliyotokea saa 12:15 jana ...
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) jijini Dar es Salaam kwa lengo ...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene (wa pili kulia) akikagua vitambulisho vilivyozalishwa wakati wa ziara katika Kituo cha Kuchakata Taarifa cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida). Dar ...
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tukio la kuchomwa moto na kuharibiwa kwa magari mawili katika Wilaya ya Mvomero, tukio lililotokea Desemba 17, ...
Dodoma. Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa. Tukio hilo limetokea jioni ya Jumatano Desemba 23, 2025 katika Kijiji cha Wiliko Kata ya Mlowa ...
Mwenyekiti wa Chama Cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akizungumza na wananchi na wazee wa kijiji cha Makangale, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results