SAFARI ya mafanikio ya staa wa Bongofleva, Jay Melody, ni ushuhuda hai kuwa katika muziki, kama ilivyo katika maisha, kupotea ...
TANGU mwaka 2025 ulipoanza hadi sasa anapokaribia kutia nanga, wasanii wa Bongo Fleva wametoa nyimbo nyingi zilizopokelewa vizuri na mashabiki wao na hata kupata namba za juu mtandaoni hasa YouTube.