Muziki ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Hip Hop kwenye muziki wa Bongo Fleva Toxy Star, ambae hivi karibuni ametoa audio na video yake mpya Chilax, ...
Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili muandishi wetu Ali Bilali anazungumza na msanii wa Bongo Fleva Baba Levo aliye tamba na kibao chake Vuvuzela na ambaye kwa sasa ameachia ngoma yake mpya"Sherehe' ...